HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Sonko,Sakaja Wanjiru kumuunga mgombeaji wa Ugavana Nairobi, Mathare

Wagombeaji watatu wa kiti cha Ugavana wa Nairobi kwa tiketi ya chama cha Jubilee , wameapa kumunga mkono mgombea yeyote atakayeshinda uchaguzi wa mchujo wa chama hicho, nia na madhumuni ikiwa ni kumbwaga gavana wa sasa Dkt. Evans Kidero. Seneta wa jiji Mike Mbuvi Sonko , askofu Margaret Wanjiru na mbunge mteule Johnson Sakaja , wamemtaja Kidero kama Muoga , ambaye hangeweza kuzuru eneo bunge la Mathare bila msaada wa Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho. Watatu hao walioandamana na wabunge wengine wa chama cha Jubilee waliongea katika eneo la mlango kubwa mjini Nairobi

Show More

Related Articles