HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Maandamano ya wanafunzi wa Chuo Kikuu ca Muranga baada ya mwanafunzi kufa maji

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Muranga waliandamana kwenye barabara za mji wa Muranga wakilalamikia kuchelewa kwa polisi katika kuuokoa mwili wa mwenzao aliyekufa maji kwenye mto Othaya.

Show More

Related Articles