HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Mahakama Mombasa yaagiza Mjane wa Rogo azuiliwe rumande kwa siku 7

Mjane wa Shekhe aliyeuwawa miaka minne iliyopita kwa madai ya ugaidi Aboud Rogo, Hania Said Saggar, atasalia korokoroni kwa siku saba ili kutoa muda zaidi kwa polisi kuendeleza uchunguzi, dhidi ya madai yanaomkabili ya kuhusishwa na uvamizi wa kituo cha polisi cha Central kaunti ya Mombasa.
Haya yanajiri huku watoto wake wakiitaka serikali kuhakikisha haki na uwazi katika kesi inayomkabili mama yao.

Show More

Related Articles