HabariMilele FmSwahili

Maandaamano ya kupiga ujenzi wa reli ya kisasa kati ya mbuga ya Nairobi yanaendelea

Maandamano ya kupinga ujenzi wa reli ya kisasa kupitia kwenye mbuga ya kitaifa ya Nairobi yanaendelea kwenye barabara ya Langata. Waaandamanaji hao wanadai ujenzi huo utaathiri wanyama katika mbuga hiyo ambayo ina manufaa kwa taifa hili.Wanadai tayari baadhi ya wanyama wameanza kuondoka katika mbuga hiyo.Sydney Quantai ni mmoja wa wanaoandamana

Show More

Related Articles