HabariMilele FmSwahili

Mtu mmoja afariki,4 wajeruhiwa katika ajali barabara ya Narok Mai Mahiu

Mtu mmoja amefariki na wengine wanne kujeruhiwa kwenye ajali ya bara bara eneo la Eworo Ekule bara bara ya Narok Mai Mahiu. Ajali hiyo imehusisha matatu na gari la kibinafsi. Inaarifiwa kuwa gari hilo aina ya Saloon lilikosa mwelekeo kabla ya kugongana na matatu hiyo iliyokuwa ikija hapa Nairobi kutoka Kisii. Waliofariki walikuwa katika gari dogo.

Show More

Related Articles