HabariMilele FmSwahili

Mabaki ya ndege ya Malaysia iliyotoweka yapatikana kwenye visiwa vya Pemba Tanzania

Mabaki ya ndege yaliyopatikana katika Pwani ya visiwa vya Pemba nchini Tanzania yalitoka kwa ndege ya shirika la Malaysia Airlines iliyotoweka mwaka 2014, maafisa wa Malaysia wamethibitisha.Waziri wa uchukuzi wa Malaysia Liow Tiong Lai amesema kupitia taarifa, kwa mujibu wa shirika la habari la reuters, kwamba baada ya uchunguzi imebainika kwamba kipande hicho kikubwa cha bati kilichopatikana mwezi Juni ni cha ndege hiyo safari nambari mh370.

Show More

Related Articles