HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Zaidi ya walimu 7,000 wamepandishwa vyeo na muajiri

Tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC imewapandisha vyeo zaidi ya walimu elfu saba.
Walimu 6,100 waliopandishwa cheo ni walimu wa shule za msingi huku walimu 1,300 wakiwa ni wa shule za upili ambapo tume hio imesisistiza kuwa itazidi kuwapandisha vyeo walimu zaidi katika siku zijazo.

Show More

Related Articles