HabariMilele FmSwahili

Jaji Jackton Ojwang apandwa na mori wakati wa mahojiano ya kumsaka jaji mkuu

Majibizano makali yameibuka baina ya jaji wa mahakama ya juu Jackton Ojwang na jaji Mohamed Warsame kuhusiana na barua inayokosoa utendakazi wa jaji Ojwang.Akihojiwa na tume ya huduma za mahakama inayomsaka jaji mkuu,jaji Ojwang ameonekana kupandwa na mori akisema madai yanayoandamana na barua hiyo hayana msingi wowote

Show More

Related Articles