HabariMilele FmSwahili

Muda wa kulinda amani wa vikosi vya umoja wa mataifa waongezwa nchini Liberia

Baraza la usalama la umoja wa mataifa limeongeza muda wa kuhudumu wa kikosi cha kulinda amani cha umoja huo nchini Liberia hadi mwishoni mwa mwaka huu. Hata hivyo baraza hilo limesisitiza kuwa liko tayari kutafakari wazo la kuondoa kikosi hicho nchini Liberia kutokana na pendekezo la kutathmini hali nchini humo katikati mwa Novemba mwaka huu.

Show More

Related Articles