HabariMilele FmSwahili

Kamati ya kuchunguza wanasiasa na ufadhili wao wa kampeni kubuniwa Kwale

Spika wa bunge la Kwale Sammy Ruwa ameagiza kubuniwa kwa kamati ya muda kuchunguza ufadhili unaotumiwa na watumishi wa umma kaunti huyo kuendesha kampeni zao za kisiasa.Ruwa analalama baadhi ya maafisa kaunti hiyo wanadaiwa kutumia fedha za umma katika ziara yao hapa Nairobi jumamosi iliyopita wakati wa kuzinduliwa kwa chama kipya cha Jubilee.Kamati hiyo ya watu 7 inatarajiwa kuendesha uchunguzi wake na kuwasilisha ripoti hiyo kujadiliwa.

Show More

Related Articles