HabariMilele FmSwahili

Misafara ya magari yanayobeba misaada yakwama mpakani

Misafara miwili ya magari yanayobeba msaada kwa ajili ya wenye mahitaji mjini Aleppo umekwama katika eneo la mpakani kati ya Uturuki na Syria, kutokana na ukosefu wa muafaka kati ya pande zinazohasimiana. Kila moja ya misafara hiyo unajumuisha malori takribani 20 yanayobeba chakula, yaliyokwama karibu na afisi za forodha kwenye mpaka wa uturuki, umbali wa kilomita 40 kutoka mjini Aleppo

Show More

Related Articles