HabariMilele FmSwahili

Mwanamume ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumbaka mtoto Kitui

Mwanamume wa miaka 37 amehukumiwa kifungo cha maisha baada ya kupatikana na kosa la kumbaka mtoto wa miaka minne kitui ya kati. Akiwa mbele ya hakimu Rose Ombada,Mutuku Kyule alikubali kumbaka mtoto huyo alipokuwa akicheza nje ya nyumba yake.

Show More

Related Articles