HabariMilele FmSwahili

Ajuza wa miaka 90 afariki baada ya nyumba yake kuteketea moto Kisii

Ajuza wa miaka 90 ameripotiwa kuteketea hadi kufa huko kisii baada ya nyumba alimokuwa amelala kushika moto. Usikuu wa kuamkia leo.Kwa mujibu wa majirani, makali ya moto huo uliwazuia kuweza kuukabili au kumuokoa ajuza huyo.Chanzo cha mkasa huo hata hivyo hakijabainika.

Show More

Related Articles