HabariMilele FmSwahili

Mchungaji akatisha hotuba ya Trump ya kumpinga Clinton

Mchungaji wa kanisa moja la watu weusi katika jimbo la Michigan, Marekani amekatisha hotuba ya mwaniaji urais wa Republican Donald Trump ambaye alianza hotuba yake katika kanisa hilo kwa kumshutumu akihutubu mpinzani wake Hillary Clinton. Mchungaji Faith Green Timmons alimkatisha Trump alipomshutumu mgombea huyo wa chama cha Democratic kuhusu mikataba ya kibiashara duniani.

Show More

Related Articles