HabariMilele FmSwahili

Rais atia saini sheria inayotia kikomo tabia ya wanasiasa kuhama vyama

Rais Uhuru Kenyatta ametia saini sheria mpya kuhusu mageuzi ya mfumo wa uchaguzi nchini hatua inayotia kikomo tabia ya wanasiasa kuhama hama vyama. Hii ni baada ya mabunge ya kitaifa na sheria kupitisha mswada wa kubuni sheria hiyo. Sheria hiyo aidha inatoa mwongozo kuhusu uteuzi wa makamishna tume ya uchaguzi na mipaka IEBC baada ya kuondoka afisini kwa wa makamishna wa sasa. Rais pia ameidhinisha kuwa sheria miswada kuhusu maji wa 2014, wa safari za angani na mswada kuhusu hazina ya CDF

Show More

Related Articles