HabariMilele FmSwahili

Harakati za kumngoa mamlakani gavana Gachagua kuambukia patupu

Gavana wa Nyeri Nderitu Gachagua amepata afueni baada ya harakati za waakilishi wadi kaunti hiyo kumngoa mamlakani kuambulia patupu. Hii ni kufuatia hatua ya maseneta kupuuzilia mbali hoja ya waakilishi hao. Maseneta walisema waakilishi hao walikosa kutoa sababu tosha za kikatiba kumtimua gavana Gachagua.

Show More

Related Articles