HabariMilele FmSwahili

Bei ya mafuta yapungua

Bei ya mafuta ya petroli imeshuka kwa shilingi tatu na senti 74, diesel kwa shilingi mbili na senti tano, huku mafuta ilkishuka kwa shilingi 3.38.kufuatia bei hizi, hapa Nairobi petroli sasa itauzwa kwa shilingi 91.39, diesel 87.99 na mafuta taa kwa 59.10.Mombasa petroli itauzwa 87.99, diesle 79.08 na mafuta taa 56.27.

Show More

Related Articles