HabariMilele FmSwahili

Kijana wa miaka 16 afungwa miaka 3 kwa kumbaka mtoto wa miaka 3 Nakuru

Kijana wa miaka 16 amehukumiwa kifungo cha miaka 3 kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 3.Stakabadhi za hospitali zilizowasilishwa katika mahakama ya Nakuru zilithibitisha mtoto huyo alibakwa tarehe 5 octoba mwaka jana.Hata hivyo mshtakiwa aliomba msamaha na kuahidi kubadili mienendo yake.

Show More

Related Articles