HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Rais Kenyatta na Raila warushiana cheche kali za maneno

Hatimaye aliyekuwa waziri na mwanasiasa mkongwe William Ole Ntimama amezikwa katika boma lake lililoko kijijini Mutonyi kaunti ya Narok. Ntimama ambaye aliaga dunia majuma mawili yaliyopita ametajwa na viongozi kama shujaa aliyefanya kila awezalo kutetea haki ya jamii ya waMaasai, kiasi kwamba alitawazwa kama mfalme wa jamii hiyo…

Kilichogonga vichwa vya habari ni makombora ya kisiasa kati ya pande mbili hasimu CORD na Jubile,huku rais Uhuru Kenyatta akimshtumu kinara wa upinzani Raila Odinga hadharani kwa kuingilia siasa za Jubilee.

Show More

Related Articles