HabariMilele FmSwahili

Rais Jacob Zuma alipa deni

Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini hatimaye amelipa deni la Euro laki tano fedha za umma, alizotumia kukarabati nyumba yake binafsi. Mwezi machi, mahakama ya katiba iliamua kuwa zuma alikiuka katiba kwa hatua yake. chama kikuu cha upinzani cha Democratic kimepongeza hatua yake lakini kikasema hiyo ni hatua ndogo katika kashfa za rushwa anazokabiliana nazo.

Show More

Related Articles