HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Shambulizi la Mombasa: Mshukiwa mwengine akamatwa Nairobi

Wanawake watatu ambao wanashukiwa kuwapa hifadhi washukiwa wa ugaidi waliouawa kwenye shambulizi la mjini Mombasa, walifikishwa mahakamani japo kesi dhidi yao haikuendelea kwa kuwa hawaelewi Kiingereza wala Kiswahili.
Walirejeshwa rumande hadi mtafsiri wa ishara apatikane.

Show More

Related Articles