HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Sekta ya Afya: Ugatuzi umetajwa kuleta afueni na matatizo kwa mpigo

Wizara ya Afya imetangaza mafanikio yake katika kipindi cha miaka mitatu tangu kuzinduliwa kwa ugatuzi huku ikijivunia kupungua kwa vifo miongoni mwa kina mama wanapojifunguwa kufuatia kuzinduliwa kwa huduma ya kujifunguwa kina mama bila malipo.
Hata hivyo, changamoto ni nyingi katika sekta ya afya hasa huduma duni za kimatibabu hospitalini na migomo ya madaktari na wauguzi ambayo imepelekea maafa, na kuwalazimu wengi kutafuta matibabu mbadala katika nchi za nje haswa nchini India.

Show More

Related Articles