HabariMilele FmSwahili

David Kathurima aachiliwa kwa thamana licha ya kupapasa afisa wa polisi makalio

Mahakama imemuachilia huru kwa dhamana ya shilingi elfu 30 jamaa anayekabiliwa na shtaka la kumpapasa kwenye makalio mwanamke mmoja ambaye ni afisa wa polisi hapa Nairobi.David Kathurima anadaiwa kutekeleza tendo hilo tarehe 10 mwezi huu kwenye barabara ya Duruma.Hata hivyo Kathurima amekanusha mashtaka hayo kesi dhidi yake ikitarajiwa kusikizwa mwezi ujao.

Show More

Related Articles