HabariMilele FmSwahili

Washukiwa wa ugaidi walioshikwa Mombasa hawafahamu lugha ya kiswali wala kingereza

Mahakama ya Mombasa imeamuru washukiwa watatu wanaohusishwa na shambulizi katika kituo cha polisi cha Central kusalia rumande hadi kesho.Amri hiyo imetolewa baada ya kubainika watatu hao hawana ufahamu wa lugha ya kiswahili au kingereza.Naima Mohammed Ahmed, Saida Ali Hajj na Shukri Ali Hajj wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Bandari.

Show More

Related Articles