HabariMilele FmSwahili

Wauguzi wanaogoma Kakamega wapewa makataa ya hadi kesho kurejea kazini

Serikali ya Kaunti ya Kakamega imewapa wauguzi wanaogoma makataa ya hadi kesho kurejea kazi lau sivyo wapoteze kazi zao.Aidha imeahidi kushughulikia malalamishi ya wahudumu wanaogoma. Wauguzi hao wanadai kupandishwa vyeo na nyongeza ya mshahara. Kufuatia mgomo huo wa juma zima huduma mbali mbali zimekwama katika hospitali ya rufaa ya Kakamega

Show More

Related Articles