HabariMilele FmSwahili

Edga Lunga kuapishwa kwa muhula wa pili kama rais wa Zambia leo

Edga Lungu ataapishwa leo kama kwa muhula wa pili rais wa Zambia baada ya mahakama ya juu nchini humo kutupilia mbali juhudi za upinzani kusimamisha sherehe hiyo. Lungu ambaye amekuwa mamlakani tokea mwaka jana alishinda uchaguzi wa agosti 11 kwa kura takribani laki moja. Mpinzani wake mkuu Hakainde Hichilema alipinga matokeo hayo akidai kulikuwa na udanganyifu.

Show More

Related Articles