HabariMilele FmSwahili

Maadhimisho ya kila mwaka ya mto Mara kuanza leo Bomet

Maadhimisho ya kila mwaka ya mto Mara inaanza hii leo katika kaunti ya Bomet. Kwa mujibu wa waziri wa maji kaunti hiyo Kipkorir Sigii, Lengo la sherehe hizo ni kutunza mto huo pamoja na msitu wa Mau. Sigi anasema maeneo tofauti pamoja na mto mara yatasafishwa. kamishna wa kaunti hiyi Bernard Leparmarai amewahakikishia wenyeji pamoja na watakaohudhuria sherehe hizo kuwa usalama umeimarishwa.

Show More

Related Articles