HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

KURUNZI YA KAUNTI: Changamoto za maji zimeanza kushughulikiwa

Mji wa Narok ni mji ambao kila kunaponyesha hukumbwa na mafuriko ambayo huleta madhara makubwa kwa wenyeji na wafanyi biashara ambao huachwa wakikadiria hasara kubwa.

Kwa muda wa miaka mingi pia, uhaba wa maji safi umekuwa changamoto kwa wenyeji, lakini sasa changamoto hii imetatuliwa baada ya bwawa la kusambaza maji mjini humo kukamilika.

Katika makala ya Kurunzi Ya Kaunti, Dan Kaburu anaagazia miundo msingi katika mji huo wa Narok, na ni kipi serikali ya kaunti ya Narok inafanya ili kuboresha mambo.

 

Show More

Related Articles