HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Waislamu washerehekea sherehe za eid ul-adha kwa kuchinja na kwa Swala

Maelfu ya waumini wa dini ya Kiislamu humu nchini hii JumaTatu waliungana na waumini wenzao kote duniani kuadhimisha sherehe za Eid Ul Adhaa au ukipenda Eid-Ul Haaj, inayoashiria kukamilika kwa Haaj, mojawapo ya nguzo za Kiislamu.

Ikitambuklika kwamba sherehe hizi za Edd Ul Adha kwa mara ya kwanza zimekuwa siku ya mapumziko kote nchini, viongozi wa kisiasa na wale wakidini walitoa changamoto kwa kila mtu kuungana na kueneza amani.

Show More

Related Articles