HabariMilele FmSwahili

Zaidi ya wanafunzi 60 walazimika kulala nje kwenye shule ya Kivyaywa huko Kakamega

Zaidi ya wanafunzi sitini katika shule ya wavulana ya Kivaywa kaunti ndogo ya Matete eneo bunge la Lugari jimbo la Kakamega wamelazimika kulala nje kwa kijibaridi baada ya bweni lao kuteketea usiku wa kuamkia leo.Kulingana na mwalimu mkuu wa shule hiyo Augustine Owale anasema moto huo ulianza wakati wanafunzi walipokuwa darasani mwendo wa saa mbili usiku, huku juhudi za kuuzima zikigonga mwamba, wakikadria hasara ya zaidi ya shilingi milioni tatu. …………..moto shule

Show More

Related Articles