HabariMilele FmSwahili

Tahadhari yatolewa kuwa huenda Korea Kaskazini ikatoa jaribio la bomu la nyuklia wakati wowote

Maafisa wa Korea Kusini wametahadharisha kwamba huenda Korea Kaskazini itafanya jaribio lingine la bomu la nyuklia wakati wowote, baada ya kutekeleza jaribio jingine la bomu ijumaa. Msemaji wa jeshi la Korea Kusini amesema bado kuna shimo la kulipua bomu ambalo halijatumiwa katika eneo la kufanyia majaribio Punggye-ri ambalo linaweza kutumiwa kulipua bomu la sita wakati wowote.

Show More

Related Articles