HabariMilele FmSwahili

Wahudumu wa afya Taitataveta watishia kugoma masaibu yao yasipoangaziwa

Wakati huo huo chama cha wahudumu wa afya kaunti ya Taitatveta kimetoa makataa ya hadi tarehe 26 mwezi huu kwa serikali ya kaunti hiyo  kuangazia masaibu yanayowakabili la sivyo washiriki mgomo. Mwenyekiti wa muungano huo Boniface Mrashui anasema baadhi ya masuala wanayotaka yaangaziwe ni idadi ndogo ya wahudumu, mazingira duni ya kufanyia kazi na kucheleweshwa kwa mshahara wao.

Show More

Related Articles