HabariMilele FmSwahili

CIPK yapongeza serikali kwa kutangaza leo siku kuu ya Idd Ul Adha

Baraza la kitaifa la maimam na wahubiri nchini CIPK limeipongeza serikali kwa kutangaza leo kuwa ya mapumziko kusherehekea siku ya Idd Ul Adhha.Mwenyekiti wa kitaifa wa baraza hilo Sheikh Abdalla ateka, amewataka waislamu humu nchini kudumisha amani wanapoadhimisha sherehe hiyo na pia kuwajali wasiobahatika anaoishi katika jamii. Aidha amewahimiza wanasiasa kuhubiri utangamano, hasa taifa linapoelekea katika uchaguzi mkuu mwakani. Naye mwenyekiti wa baraza la CIPK kanda ya Northrift Abubakar Bini ametaka siku hii kufanywa kuwa ya kitaifa kama nji ya inaleta usawa wa kidini.

Show More

Related Articles