HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Viongozi Magharibi ya kenya wazidi kuangazia uchaguzi mkuu

Kinara wa FORD Kenya Moses Wetangula amesema kuwa yuko tayari kumenyana na kinara wa ODM Raila Odinga , na menzake Kalonzo Musyoka kuwania tikiti ya urais , ili kupeperusha bendera ya CORD .
Wetangula aliyekuwa akizungumza katika kaunti ya Kakamega vilevile ameitaka tume ya uchaguzi nchini kutangaza wazi viti vya wabunge waliogura vyama vyao na kujiunga na chama cha Jubilee, akisema kuwa mjeledi wa wapiga kura unawasubiri mashinani.

Show More

Related Articles