HabariMilele FmSwahili

Tahadhari yatolewa dhidi ya kujiunga na makundi ya kigaidi

Wanafunzi wa vyuo vikuu wametahadharishwa dhidi ya kujiunga na
makundi ya kigaidi.Naibu chansela wa chuo kikuu wa Kabianga Wilson Kipngetich ameelezea hofu yake akisema makundi hayo yanawalenga wanafunzi kufanikisha matendo yao. Amewaonya wanafunzi pia dhidi ya kukubali kutumika na wanasiasa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu mwaka ujao.

Show More

Related Articles