HabariMilele FmSwahili

Vinara wa CORD watakiwa kushirikiana ili kuondoa Jubilee mamlakani

Mbunge wa Butula Michael Onyura amewataka wanachama na wafuasi wa muungano wa CORD katika ngome zao kujisajili kwa wingi kama wapiga kura ili kuimarisha matumaini ya mrengo huo kuibuka na ushindi kwenye uchaguzi mkuu ujao.Onyura aidha amewataka vinara wenza katika muungano wa CORD kuendelea kushirikiana pamoja iwapo wana nia ya kuondoa serikali ya Jubilee mamlakani.

Show More

Related Articles