HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili Videos

ARI NA UKAKAMAVU: Mahangaiko ya mtoto Emily.

Kwenye makala ya ‘Ari na Ukakamavu’ mwanahabari wetu Kimani Githuku alimtembelea mwanafunzi Emily Wanjiru ambaye sifa zake zilienea kote baada ya kukariri shairi [mvua imenyesha kitandani] na kuwaacha wengi wakiangua kicheko,akiwemo rais Uhuru Kenyatta.
Maisha yake yalibadilika baada ya rais Uhuru Kenyatta kuahidi kufadhili masomo yake na maslahi yake na ya nyanyake.
Lakini maisha yake kwa hivi sasa yamerudi na kuwa ya uchochole.

Show More

Related Articles