HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Rais Kenyatta na Rais Hassan wa Somalia waendelea na mashauri kuhusu mzozo wa miraa

Rais Uhuru Kenyatta anasemekana kuwa kwenye mazungumzo na rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamoud kwa minajili ya kutatua mzozo huu ambao umekuwa na athari chungu nzima kwa wakulima wa miraa.
Hii ni baada ya maelfu ya tani za miraa ambazo zilitarajiwa kusafirishwa Somalia ziliozea katika uwanja wa ndege wa Wilson jijini Nairobi, baada ya waziri wa masuala ya anga nchini Somalia Ali Ahmed Jangali kutoa uamuzi huo, japo hakuna sababu kuu iliyotolewa.

Show More

Related Articles