HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Mwanaume wa miaka 59 adai kortini ni mwanawe marehemu Ntimama

Mwanamume mmoja kwa jina George Kariuki Njoroge, alifika kortini akidai kuwa yeye ni mwanawe mwanasiasa mkongwe mwendazake William Ole Ntimama, na kutaka mahakama kusimamisha mazishi ya Ole Ntimama hadi ahusishwe kwenye shughuli za kumzika, hata hivyo, mahakama ilitupilia mbali ombi lake.
Ole Ntimama anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano tarehe kumi na nne.

Show More

Related Articles