HabariMilele FmSwahili

Wanafunzi 5 wanazuiliwa na polisi baada ya kupatika wakivuta bangi na kunywa pombe voi

Wanafunzi watano wa shule ya upili ya David Kayanda eneo la Voi wanazuiliwa na polisi baada ya kupatikana wakivuta bangi na kunywa pombe katika nyumba ya mmoja wao karibu na shule hiyo. Wadau katika sekta ya elimu wamekashfu vikali tabia ya watano hao wakiitaja kama isiyofaa kwa wanafunzi.

Show More

Related Articles