HabariMilele FmSwahili

Mwanaume awasilisha kesi mahakamani akitaka kusitishwa kwa mazishi ya William Ole Ntimama

Mwanaume wa miaka 59 amewasilisha kesi mahakamani akitaka kusimamishwa kwa muda mazishi ya waziri wa zamani william Ole Ntimama.George Kariuki anasema alizaliwa na mzee ntimama na kuwa sharti jamii yake imtambue kabla ya mazishi hayo kuendelea. Makahama inatazamiwa kurtoa uamuzi wake muda wowote. Mzee Ntimama amepangiwa kuzikwa jumatano ijayo katika makaazi yake huko emotonyi kaunti ya Narok.Mzee Ntimama alifariki ijumaa iliyopita baada ya kugua kwa muda.

Show More

Related Articles