HabariMilele FmSwahili

Afisa wa GSU aliyekuwa mafichoni amekamatwa Mombasa

Polisi huko Mombasa wanamzuilia afisa mmoja wa GSU ambaye amekuwa mafichoni. Afisa huyo aliekelea mafichoni baada ya kupatikana kwa bunduki 3 na risasi katika makaazi yake katika mtaa wa Githurai.Wakati huo huo kilipuzi kilichokuwa kimetegwa kulenga maafisa wa usalama wanaoshika doria kwenye mpaka wa Kenya na Somalia huko Mandera kimelipuka. Polisi wanasema hakuna aliyejeruhiwa wakati wa tukio hilo

Show More

Related Articles