HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Msajili wa Vyama: Hakuna anayeweza kusajili tena vyama walivyokuwemo

Kuvunjiliwa mbali kwa vyama 13 hivi ili kuzindua Jubilee Party kumeibua hisia mseto na hata kuwakanganya wengi.
na je, kuvunjiliwa kwa vyama hivi kuna maana gani?
Suala kuu likiwa iwapo kuna uwezekano wa Mkenya yeyote yule kwa mujibu wa matakwa yanayohitajika kisheria anaweza sajili upya chama sawia na vile ambavyo vimevunjiliwa mbali na kutumia kwenye uchaguzi mkuu ujao 2017.
Anders Ihachi amezungumza na msajili wa vyama vya kisiasa Lucy Ndung’u.

Show More

Related Articles