HabariMilele FmSwahili

Kiraitu Murungi asema APK haijutii kujiunga na Jubilee

kiongozi wa chama cha APK Kiraitu Murungi anasema hawajutii kujiunga na Jubilee.Akiongea kaitka mkutano wa wajumbe wa chama hicho kuidhinisha kujiunga na chama kipya cha Jubilee, Kiraitu Anasema wanataraji mabadilko makubwa kisiasa wanapojiunga na vyama vingine ndani ya Jubilee.

Show More

Related Articles