HabariMilele FmSwahili

Tobiko akutana na wawakilishi wa wanahabari wanaoshiriki maandamano Nairobi

Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko amekutana na wawakilishi wa wanahabari nchini kupokea malalamishi yao.Kwenye mkao huo, Tobiko ameahidi kuangazia malalamishi wanayoibuwa ya kuongeza kwa visa vya kuawa kwa baadhi yao sawa na kudhulimiwa.Wanahabari wangali wanashiriki maandamano hayo hapa Nairobi na maeneo mingine nchini.

Show More

Related Articles