HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Biashara Ya Miraa Yatikiswa

Bei ya miraa sokoni imeshuka maradufu huku kilo moja ambayo ilikuwa ikiuzwa kwa shilingi elfu tano sasa ikiuzwa shilingi elfu mbili na mia tano.
Mwanahabari wetu Gordon Odhiambo alizuru soko la miraa Nairobi na kubaini kuwa tani kadhaa za miraa hii leo zilitupwa baada kukwama katika uwanja wa ndege wa Wilson kufuatia marufuku ya Somalia.

Show More

Related Articles