HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Raila amewataka wanaohama ODM waondoke haraka

Viongozi wakaidi wa chama cha ODM watatupwa nje na nafasi zao kuchukuliwa na viongozi wengine.
Hayo yamesemwa na kiongozi wa ODM Raila Odinga , alipoendeleza ziara yake katika magharibi mwa nchi, hususan kaunti ya Kakamega.

Show More

Related Articles