HabariK24 TvSwahiliSwahili Videos

Hatima Gavana Gachagua kuamuliwa na bunge lote la Seneti

Bunge la Senate limepinga kamati ya maseneta kumi na mmoja wa kumchunguza Gavana wa Nyeri aliyefurushwa Nderitu Gachagua na badala yake limekubaliana kujadili pendekezo la bunge la kaunti ya Nyeri peupe.
Kulingana na maseneta hao hatua hiyo iliafikiwa ili kujiondolea lawama na itatoa fursa kwa umma kufuatilia vikao.
Seneta Ekwe Ethuro atatoa mwelekeo kesho kuambatana na suala hilo.

Show More

Related Articles