HabariMilele FmSwahili

Watu milioni 38 hufariki kila mwaka kwa magonjwa yasioambukizwa

Takriban watu milioni 38 hufariki kila mwaka kwa kuugua magonjwa yasiyoambukizwa. utafiti wa shirika la afya ulimwenguni aidha unasema milioni 28 kati ya hao ni wale wanaotoka katika nchi zenye kipato cha chini.Mkuu wa kitengo cha kuzuia maambukizi uzuiaji daktari Jackson Kioko amesema serikali inafanya kila juhudi ili kupunguza visa hivyo kwani maradhi hayo ni tishio kwa ukuaji wa uchumi nchini.

Show More

Related Articles