HabariMilele FmSwahili

Wafanyabiashara waandamana kulalamikia marufuku ya kusafirisha miraa iliyowekwa na Somali

Shughuli za kawaida mjini Meru zimeathirika pakubwa baada ya mamia ya wafanyabaishara kushiriki maanamdano kulalamikia marufuku iliyowekwa na Somali dhidi ya usafirishaji wa miraa nchini humo.Wanadai marufuku hiyo itawaletea hasara kubwa kwani wao hutegemea kilimo hicho kujikimu kimaisha.Wanaitaka serikali kuwasadia kupata soko tena kuendelea kusafirisha bidhaa hiyo.

Show More

Related Articles